Fikia Biblia, vitabu vya Kikristo, nyimbo na liturujia, Biblia za watoto, tazama na sikiliza shuhuda zenye kutia moyo. Jiunge na kozi ya Soma Biblia mtandaoni. Agiza na nunua kwa urahisi. Pakua sasa, uanze kujifunza, kufurahia na kushirikisha Neno la Mungu popote ulipo.
Nunua Biblia, vitabu vya Kikristo, Biblia za Watoto na Vifaa vya Madhabahuni. Soma Majarida na Vipeperushi bure. Pia Jiunge na kozi ya Soma Biblia kwa Njia ya Mtandao. Vyote kwa pamoja.
Sikiliza Shuhuda za kutia Moyo, Nyimbo mbalimbali za Injili na Tazama Filamu zenye mafundisho juu ya Wokovu wa Yesu Kristo. Burudika huku ukijifunza juu ya Imani na Maisha.
Kwa lugha rahisi, nyepesi na ya kueleweka unapata ujumbe wa Neno la Mungu uliokusudiwa. Inapatikana katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza.
Nunua vitabu na bidhaa nyingine kwa urahisi na salama. Tumia simu yako au kadi kulipia.
Pokea taarifa kuhusu kazi zetu, ofa ya vitabu, bidhaa mpya na shughuli za misheni kwa karibu na haraka zaidi.
Unda akaunti binafsi na kupata Maktaba ya kusoma na kuhifadhi vitabu vyako. Wasiliana nasi kwa urahisi na salama kabisa.
Tazama mwonekano wa kuvutia na rahisi kuelewa kazi za Soma Biblia
Anza kutumia na furahia vipengele vyote kwa menyu nzuri na rahisi kukupa unachotafuta.
Ubora wa sauti unakupa nafasi ya kusikiliza shuhuda na nyimbo zenye mafundisho ya Neno la Mungu
Angalia bidhaa na kisha bofya kuagiza na kununua vitabu na vifaa vya Kanisa. Soma vitabu na majarida ya bure katika maktaba yako.
Andika moja kwa moja kitabu au bidhaa unayotafuta na utapelekwa kwa haraka na kwa hakika katika ombi lako.
Ukiwa tayari kulipa oda yako ni rahisi na salama. Chagua tu njia ya kulipia kitabu au bidhaa nyingine. Unaweza kulipia vitabu vingi kwa wakati mmoja.
Furahia mipangilio ya kibinafsi na mapendeleo ili kuendelea kupata furaha wakati wote na Soma Biblia
Pakua App ya Soma Biblia kwa kubofya kitufe hapo chini. Inapatikana kwa simu za Android na iOS. Kiswahili na Kiingereza.
Programu itakuongoza hatua kwa hatua hadi uanze kuitumia kikamilifu. Fuata maelekezo.
Tengeneza akaunti binafsi. Itakusaidia kuhifadhi kumbukumbu za manunuzi na kusoma machapisho ya bure hata ukibadilisha kifaa.
Hongera! Upo tayari sasa kufurahia Neno la Mungu kila siku, na kuwashirikisha wengine baraka hii.
Pakua Soma Biblia sasa, uweze kununua vitabu, kujifunza na kushirikisha Neno la Mungu popote ulipo.
Mahitaji ya Mfumo: Android 6.0+ au iOS 12.0+, Nafasi ya bure ya 100MB